Kwani wewe haupo Dar?kama haupo basi mtume ndugu yako aende Magomeni makao makuu ya wilaya Kinondoni na kama upo nenda mwenyewe ni heri kukutana F2F kuliko kusubiri humu kwenye JF mambo mengine yanataka kupata taarifa mwenyewe ama sivyo unaweza kupotoshwa buure,kama una kifuta jasho nitume mimi bana nikashughulike teh teh halafu nikuingize mjini