Eneo

Billcash

Member
Nov 4, 2016
86
44
Eneo linauzwa Bagamoyo. Lina ukubwa wa nusu eka, bei mil 18, Karibu sana na shule ya Sekondari Premier. Ndani kuna minazi na gari inafika hadi kwenye eneo. Ni umbali wa km moja kutoka barabara ya Bagamoyo Dar, na Km 10 toka Bagamoyo mjini. Aliye serious anipm.
1d128674ef87e5261873c6a421f9a06a.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom