Eneo/Shamba kigamboni kimbiji linauzwa

Eneo/Shamba kigamboni kimbiji linauzwa

Mitomingi8s

Senior Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
132
Reaction score
39
Eneo la ekari 27 linauzwa kwa bei poa lipo kigamboni kimbiji karibu na kiwanda cha lake cement linafaa kwa makazi, kiwanda, soko la kisasa au shule. karibu uwekeze eneo hili ni lulu sana. Bei ni 350milion maelewano yapo for serious buyer wasiliana nami kwa sim 0784/0715 746840 karibuni
 
du...! yaani Kimbiji imefikia bei hii? Ekari moja sh. 13Mn? (350Mn/27)Hata siamini. Na ni km 45km toka feri. Tunakoelekea si kuzuri.....
 
Back
Top Bottom