eneo linauzwa

dume lao

Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
43
Reaction score
46
Eneo zuri linalofaa kwa kilimo cha umwagiliaji na ufugajia wa samaki lenye hekar 2.lipo mita 100 kutoka mto ruvu,mita chache kutoka mradi wa samaki wa ruvu fish,eneo lipo halmashaur ya mji kibaha kata ya mbwawa kijiji cha miswe.kwa anaehitaji tuwasiliane PM
 
Linauzwaje??
Halijai maji kipindi cha masika??
 
Halijai maji kuna mrad mkubwa wa ruvu fish na wafugaji wengine wakubwa wa samaki unaweza kuingia you tube angalia documentary ya ruvu fish utapata ufaham wa maeneo.
 
Weka bei tujipime ubavu
 
Mbona unatoa macho,fanya reasearch ujue thaman ya eneo husika,ndo utaelewa kua 5m @hekar1 ni bei ya kawaida.yapo maeneo ya elfu 50 kwa hekar huko sumbawanga,kachukue heka 100 mkuu.
 
Hahahaaa sawa mkuu, Ila sijashangaa kwa ubaya ni kwamba sikuwahi kufikiria ekari moja ruvu inaweza kufika 5M maana nimezoea kusikia bei ya 300,000 - 500,000. Kila la kheri
 
Ruvu ipi hyo kiongoz nikachukue na mm boss,
Eneo naloongelea mm lipo wilyaya ya kibaha mji kata ya mbwawa.naww tupe details tuchangamkie fulsa kiongoz
 
Search tu humuhumu utaona unless Kama ni matapeli.
 
Mimi nilijua una details,kumbe ulisikia/kusoma sehem.mim ni mwenyeji wa maeneo hayo najua nachokiongea.kanunue hata hekar 1 kwa m1.utarudi hapa kutupa mrejesho.hakuna eneo hata 1 la kibaha mji lisilokua la mtu.ila watu wenye kutaka mteremko wanapigwa tu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…