bizzle for shizzle
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,012
- 741
Eneo lenye ukubwa wa hekali 8 linauzwa lipo mbweni marindi linatazama barabara ya rami ya kwenda mbweni eneo linahati limepimwa. Contact 0712464777
Mkuu nadhani Malindi ni mbele ya Kwa Komba (ambapo ndio Ubungo hapo hapo). Ni mbele pia ya Masaiti, ni maeneo ya ile kona ya kuelekea MbweniMhhhhhhh Malindi ipi? Ubungo ? Kwa Komba? Maeneo yote yamepimwa huko tupatie block na plot number.