senkondomhina
Member
- Nov 14, 2015
- 8
- 0
Ninauza eneo, lina ukubwa wa EKARI MOJA, Eneo lipo KIMARA TEMBONI, jirani na kituo cha POLISI TEMBONI. Eneo Limezungushiwa UZIO(Fence), Lipo Umbali wa mita 400 kutoka morogoro road (dakika 8 kwa mwendo wa kutembea).
Huduma ya uhakika ya umeme, barabara na maji inapatikana. Uthibitisho wa umiliki wa eneo upo.
Kwa yeyote anayehitaji awasiliane na muhusika 0715 654141.
Huduma ya uhakika ya umeme, barabara na maji inapatikana. Uthibitisho wa umiliki wa eneo upo.
Kwa yeyote anayehitaji awasiliane na muhusika 0715 654141.