Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,119
- 1,618
Sjajua mana nimeenda kulikagua leokaribu na nyumba ya rais au
Nimepaona na pazuri kinoma watu walijiandaa katika uwekezaji aseeChekechea pako vizuri sana kibiashara.
Kwa Sasa hatuna Kweli lakini Kwa badae Mimi ndio mmiliki wa Zaidi ya hiyo Bilion moja.Billion 1 unaitamka kirahisi tu wakati ukoo wenu mzima hamna pumbavu
Akili za kimaskini hizo!Billion 1 unaitamka kirahisi tu wakati ukoo wenu mzima hamna pumbavu
We unayohiyo gari ya bil 1?Akili za kimaskini hizo!
Watu wana hela bro! Hiyo billion 1 kuna watu thamani ya gari zake mbili za kutembelea.
Acha kuongea upuuzi kabla haujafika eneo husika.Madalali mbona mnaharibu biashara nyie!
Kigamboni chekechea kuna thamani ya bilioni moja?
Wewe mlugaluga wakuja nini?Acha kuongea upuuzi kabla haujafika eneo husika.
Endelea kukariri hivyo hivyo.
Wacha tuoneWewe mlugaluga wakuja nini?
hapo chekechea hapana hadhi ya bilioni 1... punguza njaa dalali biashara ya tajiri itakudodea hiyo.
Bila Shaka hiyo sio Bei yangu Mimi.Billion 1π π
Kwahy umeshindw kumshauri kw akili za kawaidaBila Shaka hiyo sio Bei yangu Mimi.
Ni Bei ya mmiliki wa ENEO.
Unataka twende mkakae wenyewe mezani.
Kabla ya kulitangaza alishapanga Bei ambayo anaona inamfaa.Kwahy umeshindw kumshauri kw akili za kawaida