HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,669
Wadau habari za jioniEneo linauzwa Dodoma mjini...maeneo ya kikuyu South extension.
Eneo lina square mitre 373
Lipo karibu kabisa na station ya treni ya mwendo kasi
Kutoka eneo lilipo na barabara ya lami (iringa road) ni mita 100
Bei 9,500,000
Mawasiliano zaidi inbox tafadhali.