Eneo lenye nyumba fremu nne na kontena moja Tabata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eneo lenye nyumba fremu nne na kontena moja Tabata

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Ael urassa, Mar 23, 2011.

 1. A

  Ael urassa Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eneo hilo lipo sambamba na shule ya international St.Marry. Inauzwa kwa garama ya sh.milion 250/= tu. hati ya makazi na biashara. kwa kupaona tuwasiliane kwa 0713 852 625.
   
 2. G

  Godwine JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  weka picha mkuu
   
 3. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Hii ni forum ya matangazo madogo madogo tu.
   
 4. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  mkuu biashara ya mil 250 unaleta huku? hiyo wapelekee kina MAnji na Rostam huku tuwekee vya milion 5, 10, hadi 20 tutakupigia sana
   
 5. S

  Strategizt Senior Member

  #5
  Mar 24, 2011
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 176
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35

  naunga mkono hoja huku si eneo la mabiashara makubwa hivyo
   
Loading...