Eneo la viwanda/garage linauzwa

Adolph Sendeu

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
269
250
Eneo lipo Morogoro mjini barabara ya Mazimbu road, linatazamana na palipokiwa panaitwa PEHICO mkono wa kushoto ukitokea eneo la Fire brigade ya Morogor. Karibu sana na idara ya maji, ukubwa ni 35m X 65m. Mawasiliano piga 0764801062 au 0766279654. Eneo limezungushiwa ukuta lote na gate.
 
LIBRARY

JF-Expert Member
Aug 28, 2012
234
0
Eneo lipo Morogoro mjini barabara ya Mazimbu road, linatazamana na palipokiwa panaitwa PEHICO mkono wa kushoto ukitokea eneo la Fire brigade ya Morogor. Karibu sana na idara ya maji, ukubwa ni 35m X 65m. Mawasiliano piga 0764801062 au 0766279654. Eneo limezungushiwa ukuta lote na gate.

Simu yangu haina dola. naomba kujua bei.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom