Eneo la ekari tano linauzwa

Eneo la ekari tano linauzwa

BRAVO 2 ZERO

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
1,213
Reaction score
1,278
Eneo la ekari tano linauzwa lipo igawilo mkoani mbeya karibu sana na hospital ya igawilo pia karibu na secondary ya igawilo.linafaa kwa mambo yafuatayo:- Kilimo.maana lipo karibu sana na mto unaotiririka kilasiku
@ujenzi wa shule
@ujenzi wa store/godowns
@kwa yard ya malori
@ujenzi wa hostel
@ujenzi wa nyumba ya kuishi
Pia lina maparachichi ambayo yameanza kuchumwa miche kama 60

Mawasiliano 0713976563 kwa maelezo zaidi na bei
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mbona bei iko juu sana namna hiyo! karibu na hospitali upande upi? wa shule ya Igawilo Sekondari ama upi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom