Kenya effect ya udini kwa mantiki ya Ukristo na uislam ni ndogo sana, kutokana na sensa rasmi ya mwaka 2009, Wakenya walijitambulisha kwa dini zao kama ifuatavyo;
Christian-Protestant 48%
Roman Catholic 23%
Other Christians 12%
Muslims 11%
Indigenous beliefs 2%
Others 4%
Hivyo kwa mchanganuo huu utaona kuwa Wakristo ni almost 83% wakati Waislam ni 11% tu..