usalama kwanza
JF-Expert Member
- Oct 3, 2012
- 386
- 157
Inawezekana una gari lako zuri na unalolipenda na ungependa liendelee kudumu na kukuletea matokeo mazuri ukiwa barabarani basi sisi ISECURE technology tunakuletea tracking technology mpya yenye uwezo wa kugundu mapungufu/ugonjwa/matatizo ya gari lako .
Technology yetu itakusaidia kujua matatizo ya gari yako punde tu yatakapokuwa yanaanza ili uweze kabiliana nayo mapema kabla hayajawa makubwa, Faida ya kifaa hiki ni kuwa utaweza
i) Kujua ufanyaji kazi wa enjini ya gari lako na kama ina matatizo yoyote
ii) itakupa ripoti kama sensa katika gari lako litafanya kazi
iii) Utajua ufanyaji kazi wa gari lako.
iv) Itakusaidia kujua tatizo la gari na kulitibu kwa usahihi hivyo kupunguza gharama za mafundi vifaa na marekebisho yasiyo na lazima
v) jotoridi la gari, mafuta
Siku zote tunajitahidi kukupa huduma zaidi hivyo kifaa hiki kitakupa uwezo zaidi kama,
a) Kuweza kujua gari lako lilipo
b) Kuchagua ni eneo gani gari lako linaweza lifike au lisifike
c) Kujua kama gari lako limewashwa , limezimwa au kufunguliwa milango
d) Kujua matumizi ya mafuta ya gari lako na kama kuna wizi wa mafuta.
e) Kujua mtikisiko wowote ulilopata gari lako
f) kujua speed ya gari lako na mengineyo mengi
Nani anaweza weka tracking device hii
1. Mtu yoyote anayemiliki chombo cha usafiri hasa gari , iwe gari kubwa au dogo , pengine hata chombo kingine cha usafiri kama trekta, excavator , pikipiki
2. Kampuni yoyote au Makampuni yanayofanya bishara ya usafirishaji, kifaa hiki kitakusaidia katika utunzaji wa gari lako na kuzuia wizi wa mafuta
Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0714890018
naelewa kuhusu upinzani uliopo katika lakini katika soko tunaongoza kwa kutoa huduma bora , huduma za nyingi zaidi na gharama nafuu , vifaa vyetu vina uwezo zaidi kushinda competitors wengine katika soko. Unaweza pitia nyuzi zangu nyengine kupata maelezo . Asante sana kwa mchango wako nduguInatumia mfuma wa hizi laini za simu au Satellite....kama ni Iridium satelite biashara ipo lakini kuna wapinzani FMS Africa LTD
karibu sana UmuhirindahuAsante kwa taarifa
Ndugu inaonekana uko karibu sana na magari, lakini nachelea kufunguka hapa sababu kifaa ni cha usalama zaidi sasa sio vizuri kusema kinafungwa wapi na jinsi gani kinafanya kazi isipokuwa kama kweli utahitaji tutakufungia , lakini kwa jinsi unavyoandika naamini kabisa unajua ninacho ongelea na hauko mbali na unavyofikiria , siku ukihitaji tutakupa maelezo yote kwa kadiri utakavyokuwa unahitajimkuu hembu fafanua kwa kina na mifano sehemu ya i,ii,iii,iv nahisi kama unaniacha njia panda.
na kama huto jali waweza taja aina ya hicho kifaa
Je? ni bei nafuu kiasi kwamba naweza ifunga katika boda boda na ikanilipa?naelewa kuhusu upinzani uliopo katika lakini katika soko tunaongoza kwa kutoa huduma bora , huduma za nyingi zaidi na gharama nafuu , vifaa vyetu vina uwezo zaidi kushinda competitors wengine katika soko. Unaweza pitia nyuzi zangu nyengine kupata maelezo . Asante sana kwa mchango wako ndugu
bei yetu ni laki tatu kwa kila tracker tutakayofunga kwenye soko tunatoa bei nafuu zaidi.Je? ni bei nafuu kiasi kwamba naweza ifunga katika boda boda na ikanilipa?
Unajua hii sio tu swala la kifundi ni swala la kiusalama pia , kwahiyo maelezo mengine utayapata pale utakapokuwa unahitaji kuwekewa kifaa na utalipia pale utakapo ona umeridhika na kwa kazi inachofanya kifaa. Unaweza fuatilia threads zangu mara zote najibu maswali yote ninayoulizwa lakini kwa hili nachukulia tofauti kidogo.jibu maswali mkuu wacha kupiga chenga mzee.
mfano majibu ya hivyo vipengele hapo juu unashindwaje kujibu unaficha nn??
maana umeongelea vitu ambavyo ni mhim sana kuwa kitakupa taarifa ya gari yako inapoharibika au sensor kufa so elezea itakupa taarifa kivipi??