Endeleeni kupandisha bei za mafuta ili akili zitukae sawa

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,843
Wabongo sisi kujielewa bado sana ndio maana hata wakoloni walikuja Afrika kututawala kwasababu tunachukulika kirahisi na akili zetu migando sana. Natamani hii serikali ipandishe nauli za dalalada hata iwe buku tano mbagala ~kariakoo, wapandishe bei ya Mchele kwa kilo ifike 10000,mafuta ya kula kwa Lita iwe 20000,unga kwa kilo iwe 5000, yani kila kitu kipande mara tano yake ili tuchapike mpaka tujione mambwa tu. Maana mitanzania ipo ipo inabaki kulalamika mitandaoni na Vyumbani tu kujitokeza hadharani ipinge inaogopa, yanaufyata mkia. Tena kwanzia leo ukija kulalamika chochote mbele yangu nakupiga kerebu moja hiyo hutakuja kusahau.
1659470360154.jpg
 
Wabongo sisi kujielewa bado sana ndio maana hata wakoloni walikuja Afrika kututawala kwasababu tunachukulika kirahisi na akili zetu migando sana. Natamani hii serikali ipandishe nauli za dalalada hata iwe buku tano mbagala ~kariakoo, wapandishe bei ya Mchele kwa kilo ifike 10000,mafuta ya kula kwa Lita iwe 20000,unga kwa kilo iwe 5000, yani kila kitu kipande mara tano yake ili tuchapike mpaka tujione mambwa tu. Maana mitanzania ipo ipo inabaki kulalamika mitandaoni na Vyumbani tu kujitokeza hadharani ipinge inaogopa, yanaufyata mkia. Tena kwanzia leo ukija kulalamika chochote mbele yangu nakupiga kerebu moja hiyo hutakuja kusahau. View attachment 2312443
Kweli
 
Acha watu walambe asali kidogo, tulicheleweshwa sana na yule mshamba ~ aliskika qumah mmoja wa jf
 
Wabongo sisi kujielewa bado sana ndio maana hata wakoloni walikuja Afrika kututawala kwasababu tunachukulika kirahisi na akili zetu migando sana. Natamani hii serikali ipandishe nauli za dalalada hata iwe buku tano mbagala ~kariakoo, wapandishe bei ya Mchele kwa kilo ifike 10000,mafuta ya kula kwa Lita iwe 20000,unga kwa kilo iwe 5000, yani kila kitu kipande mara tano yake ili tuchapike mpaka tujione mambwa tu. Maana mitanzania ipo ipo inabaki kulalamika mitandaoni na Vyumbani tu kujitokeza hadharani ipinge inaogopa, yanaufyata mkia. Tena kwanzia leo ukija kulalamika chochote mbele yangu nakupiga kerebu moja hiyo hutakuja kusahau. View attachment 2312443
Mkuu,bia za Bujumbura ni tamu.Eeee bhana waachaa!😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom