Endapo UKAWA wakishinda October, wataunda Serikali ya mseto?

Upuuzi huu anazungumzwa sana na wanywa gongo wenzako hapo ufipani ,tumieni muda huu muutumie vizur chadema imeisha
 
​Mbona NCCR waziri mmoja tu na vipi kuhusu NLD mmeshampiga chini mzee Makaidi???
 
ww unaesema alinacha kwani maccm wana hati kana kwamba nchi ni yao milele?au hao wameorodheshwa hapo ni warundi?ww ndo unaota za mchana.
 
Hivi we Bavicha unajua Waziri mkuu ana patikanaje? Hivi Lipumba ana gombea ubunge?
 
Eti mzee wa nyeti za kuku anachukua wizaragani?
Nilidhani Rwakatare anakua Mkurugenzi Mkuu-TISS?
Lema nae mboba hayumo kwenye list?
Nashauri Dj achukue hiyo wizara ya Sugu
 
Hahahaaa mbona imejaa Chadema? Lowasa anabaraza lake kabla hajaja Chadema ndo maana kakodi kugombea kwa pesa Pole yako mtoa mada
 
Mnadhani mawaziri wanateuliwa kirahisi kama mnavyoteua mgombea wenu wa urais?
 
Kwan bado mnandoto za kushinda urais?aaaaahaaaa tusijidanganye jamaniiiii ccm watashinda tu
 

By November , baadhi ya hawa watakuwa wabunge wa kawaida tuu...na Wengine watakuwa na familia zao nyumbani...

Bora ungeota usiku !!
 
Soma nyakati wewe acha kukurupuka kama muuza bangi, hakuna cha bao la mkono wala la kisogo, CCM mwisho umefika!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…