INAUZWA Empty containers, 40ft price start at 5.8MTs - Kurasini Dar es Salaam

INAUZWA Empty containers, 40ft price start at 5.8MTs - Kurasini Dar es Salaam

Cost ya kulisafirisha hadi Arusha inaweza kufika shingapi
 
Safi kabsa kazi nzuri. Kama mtu anataka kuliwekea mazao linaweza kuingia gunia ngapi?

Kama inakuwa Container ipo nyumbani au shambani hausafirishi

40ft inakaa tani 30-34

Kwahiyo unaweza ukafanya mahesabu hapo mkuu kuwa ni gunia ngapi zinaweza kukaa umo ndani
 
Safi kabsa kazi nzuri. Kama mtu anataka kuliwekea mazao linaweza kuingia gunia ngapi?

Safi kabsa kazi nzuri. Kama mtu anataka kuliwekea mazao linaweza kuingia gunia ngapi?

1 Tani = 1000kg`
34 Tani x 1000kg = 34,000kg
34,000kg ÷ 100kg = Gunia 340

Kwahiyo gunia za kilo 100 zinaweza kukaa Kati ya 340 mpaka 400.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom