Kiula s shashota
Member
- Jan 9, 2013
- 46
- 3
Ni shule ya hadhi ilioko mkoani KAGERA.
Shule inadhaminiwa na wafadhili kutoka MAREKANI chicago.
Shule ina kidato cha kwanza mpaka sita.shule hii ina wanafunzi wapatao 560 .
Ina itaji walimu wenye diploma ya uhalimu kwa kufundisha na kuelewa na sio kukaririsha.
Shule hii ina mahabara kubwa inayo weza kufanyia majaribio ya kisayansi kwa wanafunzi 80 kwa sesheni moja.
Ina maktaba ya kila kitabu cha kufundishi na vingine vimetolewa marekani.
Malipo ni kuanzia 700000/tsh kupanda juu kulingana na michapuo unayo fundisha,sayansi ama fine arts.
Kwa mawasiliano piga
+255 758 410 294
ama tembelea tovuti ya shule
www.C.O.C.Esacred heart secondary school.com