V Vumilia Shida Member Joined Jun 5, 2011 Posts 21 Reaction score 1 May 4, 2015 #1 Wakuu heshima yenu. Naomba mwenye muongozo wa katibu mkuu juu ya watumishi wa umma wanaotaka kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa mf. Ubunge tafadhali. Natanguliza shukrani.
Wakuu heshima yenu. Naomba mwenye muongozo wa katibu mkuu juu ya watumishi wa umma wanaotaka kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa mf. Ubunge tafadhali. Natanguliza shukrani.