Employment Opportunities - Kizazi Hodari - Southern Zone

Robert S Gulenga

JF-Expert Member
Jan 3, 2013
2,161
1,493
Deloitte Tanzania has been awarded a contract to implement a Kizazi Hodari – Sothern Zone project in Tanzania. This is a five years’ project (March 2022 to February 2026) funded by the American People through USAID aiming at supporting the Government of Tanzania’s (GOT) Ministry of Health to achieve HIV epidemic control by improving the health, well-being, and protection of OVC and youth in high HIV burden communities within the Southern Zones of Tanzania specifically Iringa, Njombe and Ruvuma regions. The program intends to increase access to and use of health/HIV, social, and protection services among OVC and youth in order to contribute to 95-95-95 goals: 95% of persons living with HIV (PLHIV) know their HIV status; 95% of PLHIV who know their status are on treatment; and 95% of PLHIV on treatment are virally suppressed, by 2030.

Deloitte is therefore seeking for experienced, self-motivated, highly competent individuals with exemplary ethical conduct to join the Kizazi Hodari – Southern Zone in any of the following positions:

1. Monitoring Evaluation and learning Manager
2. Communication manager
3. Result management officer Manager
4. Technical & QI manager
5. Administration manager
6. Regional program manager
7. Economic strengthening manager
8. Gender and Youth Coordinator
9. HIV prevention Coordinator
10. Case Management Coordinator
11. Senior grants officer
12. Senior MEL Officer
13. Health Informatics Officer
14. Economic strengthening Officer
15. Case management officer
16. HIV integration officer
17. HIV preventive officer
18. M&E Officer
19. Grants officer
20. HR and administration officer
21. Financial accountant
22. Accountant
23. IT Associate
24. Drivers
25. Office Attendant

To access the detailed job description and requirements, visit Kizazi Hodari Southern Zone.

Application with detailed CV, photocopies of academic certificate should be submitted electronically through KizaziHodari-SouthernZone@deloitte.co.tz quoting the position you are applying..
 
Hizi kazi hao watu wa Project wangekuwa wana-recruit wenyewe ingekuwa safi sana,lakini kuwapa kazi hao Delloite wawafanyie recruitment ni tatizo,wapuuzi sana hao Delloite
 
Kwa nini mnasema hivyo wakuu...?
Hawa Deloitte ni Wahuni tu wanawaweka watu wao na naamini wanauza hizo nafasi,nilienda kwenye Interview moja January hii,yaani walionifanyia Interview wenyewe ni vidada viwili na vipo shallow hatari(yaani mimi ndio nikawa kama navifundisha pale),kuuliza maswali yenyewe ya field husika hawajua wanakosea mimi ndio nikawa nawarekebisha maana nimebobea kwenye field,nikawapa nondo pale wakaahidi kutoa majibu ndani ya siku 10,mpaka leo hii ni miezi 3!!!nadhani waliona aibu jinsi nilivyokuwa nawapa nondo wameingia mitini na majibu yao,hawana professionalism ni mazuzu tu
 
Hahaaa ni hatari , nchi imeoza Kwa rushwa na nepotism hatari
 
Hawa Deloitte ni Wahuni tu wanawaweka watu wao na naamini wanauza hizo nafasi,nilienda kwenye Interview moja January hii,yaani walionifanyia Interview wenyewe ni vidada viwili na vipo shallow hatari(yaani mimi ndio nikawa kama navifundisha pale),kuuliza maswali yenyewe ya field husika hawajua wanakosea mimi ndio nikawa nawarekebisha maana nimebobea kwenye field,nikawapa nondo pale wakaahidi kutoa majibu ndani ya siku 10,mpaka leo hii ni miezi 3!!!nadhani waliona aibu jinsi nilivyokuwa nawapa nondo wameingia mitini na majibu yao,hawana professionalism ni mazuzu tu

Ooooh owkay ila hawa sio recruiters right...?

Na naskia mpunga wao wanalipa vizuri pia mkuu...!
 
Deloitte ni Recruiters,yaani mfano Taasisi A inawapelekea nafasi za kazi wanazohitaji ili hao Deloitte wazitangaze na kuwafanyia Usaili waombaji,wakishapata majina wanayapeleka kwenye hiyo Taasisi wanaanza kazi na wao kama Recruiters wanalipwa chao wanasepa,hivyo ni rahisi kwa wao Deloitte kuwaweka watu wao maana wale waliowapa kazi wanasubiri kuletewa majina tu na hao Deloitte,na tena siku hizi wamebaki waswahili wenyewe basi imekuwa shida,angalau zamani kulikuwaga na wazungu kulikuwa na professionalism,siku hizi wamebaki wabongo basi ni uhuni tu,vile vidada viwili vilikuwa havijui chochote mimi ndio nikawa navielekeza,halafu majibu mpaka leo hakuna miezi 3,khaaaaaa
 
Ni recruitment agent kwa maana hiyo
 
Mkuu, mbona niliskia hii ni international firm inayotumiwa na nchi mbali mbali sio ku-recruit ila inatumiwa kwenye masuala tofauti tofauti kama vile auditing, tax, financial advisory, consultations, risk advisory etc...!
 
Deloitte ni Recruiters,yaani mfano Taasisi A inawapelekea nafasi za kazi wanazohitaji ili hao Deloitte wazitangaze na kuwafanyia Usaili waombaji,wakishapata majina wanayapeleka kwenye hiyo Taasisi wanaanza kazi na wao kama Recruiters wanalipwa chao wanasepa,hivyo ni rahisi kwa wao Deloitte kuwaweka watu wao maana wale waliowapa kazi wanasubiri kuletewa majina tu na hao Deloitte,na tena siku hizi wamebaki waswahili wenyewe basi imekuwa shida,angalau zamani kulikuwaga na wazungu kulikuwa na professionalism,siku hizi wamebaki wabongo basi ni uhuni tu,vile vidada viwili vilikuwa havijui chochote mimi ndio nikawa navielekeza,halafu majibu mpaka leo hakuna miezi 3,khaaaaaa

Nimejikuta naingia kwenye web yao kuhakiki hiko ulichosema nikakutana na haya maelezo hapa chini mkuu...!

Screenshot_20220411-191037.jpg
 
Upo sahihi mkuu

Sasa jamaa anataka kutukatisha tamaa wakati tayari tulishaiweka Deloitte kwenye the biggest picture na nimeomba nafasi hizi walizotangaza juzi nikijua ni international firm halafu jamaa anasema ni recruitment agency tena...?
 
zamani ilikuwa inaheshimika sana na ilikuwa recognised kama International Firm,sasa hivi imebaki kuwa magumashi tu wale Experts Wazungu wote waliondoka wamebaki waswahili tu magumashi mengi,jamaa zangu walishawahi kufanyaga kazi pale kipindi kile Ofisi zao zipo Mjini pale Ohio,baada ya wazungu kuondoka wakawaachia waswahili magumashi yakaanza uswahili mwingi,hao jamaa,zangu wakaachaga na kazi wajahamia sehemu nyingine,sasa hivi limebaki jina tu lakini waendeshaji ni wabongo makanjanja
 
Unaposema zamani ilikuwa recognized kama firm Ina maana siku hizi haitambuliki kama I.F mkuu...?
 
zamani kulikuwa na experts Wazungu walikuwa wanafuata Professionalism,siku hizi wamebaki waswahili ni vurugu na uhuni tu,ndio maana hata kazi hawana nyingi siku hizi hawapewi tena,wafanyakazi wao njaa tupu
 
Mkuu ulisema hii ni recruitment agency au sio...?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom