Employment and unemployment.

Employment and unemployment.

tango22

Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
11
Reaction score
3
Je nini suluhisho dhidi ya ukosefu wa kazi kwa watanzania wengi,nini kifanyike.
 
Tubadili mfumo na sura kama za kina mwigulu na nchimbi na wengine wote wenye mtazamo kama wa serukamba
 
Mwambieni Kikwete na wapambe wake warudishe hizo pesa walizoficha ughaibuni ikiwemo USWISS ili zirudishwe huku nyumbani ziwekezwe na vijana watapata ajira!!!
 
Suluhisho la kwanza ni kuitoa ccm madarakani, alafu ndio tuangalie cha kufanya, otherwize ni kutwanga maji kwenye kinu...
 
Back
Top Bottom