Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,861
- 172,516
Unaona ehhh...Wengi mno ni wahanga wa hii kitu,Finding the solution of a problem is finding the source/origin of the problem....Narefer kwenye uzi wa "Good communication is the key to a successful conversation/relationship!!
Exactly emotion abuse do harm than physical abuse,some might be doing while knowing or without knowing that they are hurting someone.....
And it has a urge impact on someone's life it might completely transform a good person to a bad person or a bad person to a good person.....
NB: whatever we say or do has an impact on someones life....
ukiwa na uelewa mpana wa The Boss utaelewa anamaanisha nini kwa kuangalia sexual relationship aspect i.e dating ,the way women act just like spies take advantage ya kukufahamu ,you know what mwanzo wa mahusiano women are so smart to know her man ,then kinachofuata (because of knowing him) ni majangas ,Women are pretty smart using IRONY inorder to extract information that can be be used against the man (abusing the man)Sawa mkuu....mifano basi kama hutomaind!!Na nakubali inaweza kuapply kote kwa wake na waume!!
100% sure tena hawa wa kiswahili ndo kabisaaSiku hizi wanawake wengi ni abusers huku wakijifanya 'victims'
Ndo maana kuna usemi 'women are like FBI anything you say to her can and will be used against you in the future'
ukiwa na uelewa mpana wa The Boss utaelewa anamaanisha nini kwa kuangalia sexual relationship aspect i.e dating ,the way women act just like spies take advantage ya kukufahamu ,you know what mwanzo wa mahusiano women are so smart to know her man ,then kinachofuata (because of knowing him) ni majangas ,Women are pretty smart using IRONY inorder to extract information that can be be used against the man (abusing the man)
The Boss;
Actually they are good at manipulating others and playing a victim
I met a friend, anakwambia kaoa malkia wa mateso duniani, and she smiles when hurting him :heh::heh:
Manipulation na visasi na ku play victim ndio almost like sifa za modern women za siku hizi
huyo rafiki yako bado hajaona mateso
uliza wazee walio staafu na kufulia huku wake zao 'wakiwashika masikio' watoto
unakuta watoto wanamsaidia mama yao tu huku baba yao hawataki hata kusikia...
Mimi naamini kabisa, 100% kwamba silaha muhimu ya mwanaume kuheshimika ni kutofilisika!!
It is not right to say, every physical abuse has element of emotional abuse in it?
Have i said so?
Unapuuza ila mwishoni unachoka moyo nao una sehem mengine unashindwa kubeba....
Ila labda kusamehe tu mana kuna msemo unasema: forgive others not because they deserve forgiveness but because you deserve peace...
Manipulation na visasi na ku play victim ndio almost like sifa za modern women za siku hizi
huyo rafiki yako bado hajaona mateso
uliza wazee walio staafu na kufulia huku wake zao 'wakiwashika masikio' watoto
unakuta watoto wanamsaidia mama yao tu huku baba yao hawataki hata kusikia...
umeangalia hoja kwa upande mmoja sanaUkiona hivyo baba hakuwa karibu na watoto wake . Wanaume wengi wakati wa ujana wao huwa wanaspebd muda mwingi na vinada au marafiki nyymbani anaonekana usiku tu kama mende then unategemea ukistaafu famikia yako ikutreat kama King! Wanakuona stranger tu kwenye maisha yao ndio maana wako karibu na mama yao watoto! Sisi baba yetu alijua hili kitambo sana na leo hii ni mzee sana lakini anapendwa mpk na vitukuu akikohoa tu watoto, mke mpk wajukuu tunakimbizana kuntunza yote hii ni kwa sababu alisacrifice raha za ujana kwa ajili ya mke na sisi watoto.
So ukiona mwanaume anateseka uzeeni jua ni yeye mwenyeww anavuna alichopanda
Nakusoma sana farkhina, kuna mtu nayemfahamu yupo hivi. Kuna siku nilimchana laivu nikamwambia and who the hell do u think u r kuniambia what ro say and when to say it kila saa. Do u think mimi im in ur head nifanye unavyofikiria wewe all the time. And what makes u think wewe u r right tuuu always... na wewe ujue nachukia ukifanya hivi and hivi and hivi. Na nikawa namshusha confidence kila saa. Kiufupi mtu wa hivi ni ngumu kudumu nae kama una roho ndogo maana ni vita lila saa vinginevyo atakufanya uanze kuji doubt na atakushusha confidence
Hii mara nyingi nimeiona kwa watu wanaoforce/kung'ang'ania mapenzi kwa watu wasiowapenda kimapenzi.
Si lazima iwe kwa wapenzi inaweza kuwa kwa kutoka kwa wazazi kwa mtoto,marafiki n.k