Super Tuesday
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 636
- 727
Haipo mbona mda sanamimi ni mpenzi mkubwa wa kutazama channel hii ya emmanuel tv, lakini kwa kipindi cha wiki mbili sasa channel hii imekuwa haipo hewani kupitia decoder ya Azam. je wadau wengine pia mmeliona hili tatizo?
mimi ni mpenzi mkubwa wa kutazama channel hii ya emmanuel tv, lakini kwa kipindi cha wiki mbili sasa channel hii imekuwa haipo hewani kupitia decoder ya Azam. je wadau wengine pia mmeliona hili tatizo?
mkuu, unaitazama kupitia decoder gani?Mkuu mbona mimi naiona mda huu!!
kwahiyo kwenye dstv inaonekana mkuu?Nunua dstv Decoder, mm kama wewe hakuna siku ambayo inapita kuangalia
ndiyo inaonekana chanel 390kwahiyo kwenye dstv inaonekana mkuu?
ndiyo inaonekana chanel 390kwahiyo kwenye dstv inaonekana mkuu?
dstv mkuu chanel 390.mkuu, unaitazama kupitia decoder gani?
Nunua Digitek ya Antennal Emmauel ipo na haina malipo ya kila mwezimimi ni mpenzi mkubwa wa kutazama channel hii ya emmanuel tv, lakini kwa kipindi cha wiki mbili sasa channel hii imekuwa haipo hewani kupitia decoder ya Azam. je wadau wengine pia mmeliona hili tatizo?