elimukwanza
Senior Member
- Dec 27, 2010
- 169
- 23
fungua nyingie kama vipi!! e mail sio inshu kivile banaaa unaweza kuwa nazo hata mia
mhhhh ?????????????????
Yahoo! Homepage | Yahoo! Homepage Helpahsante ndugu yangu lakini mbona sipati
I can help you to recover your email... Contact me via PM
mwageni ujuzi hapa na siye tufaidike bwana!Hallo unaweza pata email yako kama unakumbuka mambo yafuatayo .
1. Alternative email uliyo tumia wakati unafungua account.
2. Jibu la swali la siri ulilo weka siku unafungua account.
kWA MSAADA ZAIDI VIA PM