Kazi za Stamigold ziko Hivi ngoja nikujulishe kidgo
% kubwa ya wafanyakazi wa stamgold wametoka kwenye intern ambapo uwa wanafanya pale pale
so kwa mtu wa nje ni % chache sana kupata kazi ila nakutumia
email ya kazi
The M isine General Manager,
Stamigold Biharamulo Mine,
P.O. Box 103,
Biharamulo.