Email kwa ajili ya biashara/kampuni

Email kwa ajili ya biashara/kampuni

Kuna tofauti gani kati ya email ya biashara na hizi email za kawaida
 
Wee jamaa marketing strategy ni mweupe.

Waelimishe watu kwanza,
Faida ya hiyo email
Utofauti wake na email ya kawaida n.k

USILETE TANGAZO CHUKUCHUKU.
 
Braza naomba kuuliza, hiv links zinazoanza na "info" kama hii info@ihi.or.tz huwa ni email addresses au zinamaanishaga nini?

Maana nimejaribu kuwatumia email hao watu napata report fulan mwamba sina vigezo, naomb unisaidie
 
Screenshot_20211116-143934.png
 
Back
Top Bottom