Email disable

musubati

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
217
Reaction score
60
Wapendwa za usiku

Nimegundua sina access na email yangu tena na ni email address ninayotumia kwenye mambo muhimu nimejaribu ku sign in inanijibu email disable naomba msaada
 
Wapendwa za usiku

Nimegundua sina access na email yangu tena na ni email address ninayotumia kwenye mambo muhimu nimejaribu ku sign in inanijibu email disable naomba msaada

Samahani unajibiwa e-mail "disable" au email "disabled"?Pia toa maelezo ya kutosha ni e-mail ipi hotmail,gmail,yahoo au?Mara ya mwisho umeitumia lini,je ni zaidi ya miezi 3 au 6?
 
Hata mimi wameifunga na sijui kwa sababu gani .email ya gmail.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…