Elvis Peter HR Assistant wa Alistair Group (Kurasini) acha roho mbaya

Status
Not open for further replies.
Atakuwa mjumbe wa LBGT
 
Head wa department husika ndo huwa anaamua Nani anafaa Kati ya mlioenda kwenye usaili, HR kazi yake n kukuweka ukae kwenye mkao tuu.

Maswali ambayo hayapo kwenye JD ndohuwa humoa mtu Kaz, hvyo ukienda interview kutegemea maswali ya position unayoitaka utarud unalaumu tuu Kama position sio entry level Basi tegemea ukikutana na HR maswali yake n nje ya box Bora Hawa bongohaya kutana na kitu Jaluo au kikuyu Tena wawe na mtu wanaemtaka nawewe sio chaguo lao wewe upo tuu kukamikisha usaili.

Utajuta kutumia nauli na pesa ya kulala.
 
Hawa Alistair Group kuna nafasi za Operation Lead/Cynide na Handling of Dangerous Goods kipindi cha nyuma niliona Kama wamerudia kuzitangaza nafasi.

Saizi wakiweka Tangazo ni kuzamia hata Kama wao ni meli ya sumu, interview hata wakiwaleta Alliens, kukata tamaa ni mwiko.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…