Analogia Malenga Platinum Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,292 Reaction score 10,842 Dec 17, 2022 #1 Habari njema kwa watumiaji wa twitter spaces, baada ya saa kadhaa za kutokuwepo kwa huduma ya mjadala kwa njia ya sauti, twitter spaces imerudi. Huduma hiyo iliondolewa December 15, 2022 na hakuna kauli iliyotolewa na hakuna na maelezo yaliyotolewa kuhusu nini kilitokea. Hivi karibuni, mmiliki wa Twitter, Elon Musk ametweet kuwa huduma hiyo imerudi.
Habari njema kwa watumiaji wa twitter spaces, baada ya saa kadhaa za kutokuwepo kwa huduma ya mjadala kwa njia ya sauti, twitter spaces imerudi. Huduma hiyo iliondolewa December 15, 2022 na hakuna kauli iliyotolewa na hakuna na maelezo yaliyotolewa kuhusu nini kilitokea. Hivi karibuni, mmiliki wa Twitter, Elon Musk ametweet kuwa huduma hiyo imerudi.