mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,464
Aliijua movie nzima ndio maana alitucheka wastaafuKaka yangu wakati wafanyakazi wanalia na kikokotoo wewe ulikuja na hoja zako za kutetea ugali wako. Rejea[emoji116]
Kingu: Wabunge wa CCM tusiyumbishwe! - JamiiForums
Wakati wewe ukijua kuwa unachukua mafao yako asilimia mia wewe ukakurupuka kuja kutetea watumishi kupunjwa mafao yao na ukapinga vikali kuwepo kwa fao la kujitoa kwa madai kuwa fao hilo linarudisha nyuma juhudi za Raisi kwenye Viwanda
Sasa leo kweupe umeumbuliwa na Raisi Magufuli, ifike mahali wabunge muache njaa na kujisahau, umeshashiba nnje una v8 kali na jumba la kifahari mixer shopping za Dubai, tayari ushasahau ulipotoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbunge wa totoozKaka yangu wakati wafanyakazi wanalia na kikokotoo wewe ulikuja na hoja zako za kutetea ugali wako. Rejea[emoji116]
Kingu: Wabunge wa CCM tusiyumbishwe! - JamiiForums
Wakati wewe ukijua kuwa unachukua mafao yako asilimia mia wewe ukakurupuka kuja kutetea watumishi kupunjwa mafao yao na ukapinga vikali kuwepo kwa fao la kujitoa kwa madai kuwa fao hilo linarudisha nyuma juhudi za Raisi kwenye Viwanda
Sasa leo kweupe umeumbuliwa na Raisi Magufuli, ifike mahali wabunge muache njaa na kujisahau, umeshashiba nnje una v8 kali na jumba la kifahari mixer shopping za Dubai, tayari ushasahau ulipotoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka yangu wakati wafanyakazi wanalia na kikokotoo wewe ulikuja na hoja zako za kutetea ugali wako. Rejea[emoji116]
Kingu: Wabunge wa CCM tusiyumbishwe! - JamiiForums
Wakati wewe ukijua kuwa unachukua mafao yako asilimia mia wewe ukakurupuka kuja kutetea watumishi kupunjwa mafao yao na ukapinga vikali kuwepo kwa fao la kujitoa kwa madai kuwa fao hilo linarudisha nyuma juhudi za Raisi kwenye Viwanda
Sasa leo kweupe umeumbuliwa na Raisi Magufuli, ifike mahali wabunge muache njaa na kujisahau, umeshashiba nnje una v8 kali na jumba la kifahari mixer shopping za Dubai, tayari ushasahau ulipotoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi maendeleo jimboni kwake yakoje huyu
Huyu mbunge boya sana, kashindwa hata kumjengea nyumba mama yake na kaka yake ameishia kwenye ulevi uliotopea