Elizabeth wa DW anatuchafua kimataifa

MATAGA Mmechanganyikiwa Chato regime itawaumiza sana,
Leo kigwa alikuwa anashngilia watalii wawiki wametua nchini picha kaokota tu mtandaoni.
Plane tracker hakuna Ndege iliyokuja tz.
Yani wote mmedata
 
Hakuna lolote la kumtuhumu nalo hapo bahati nzuri mwenyewe nimeisikia hiyo taarifa yake mchana saa Saba leo,
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inachekesha na kusikitisha ni kama umempeleka mtoto shule kama Feza halafu ukimuuliza ripoti ya matokeo, anachomoa kikaratasi mfukoni anakutajia matokeo ya masomo machache "Kiswahili ilikuwa bado maksi kumi nipate A, Jiografia bado maksi nane nipate B lakini naendelea vizuri"
 
The problem of Tanzania we don't stand as one nation! Kuna watu wanaiongelea vibaya nchi nje as if wao ni warundi!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kumbuka kuwa mabalozi na watumishi wao % kubwa huwa ni nusanusa hivyo wanapoandika kitu sio kwamba wameambiwa bali wanakuwaga na kaushahidi angalau kidogo
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Mkuu inabidi tuwawajibishe hawa watu!
 
Hakuna lolote la kumtuhumu nalo hapo bahati nzuri mwenyewe nimeisikia hiyo taarifa yake mchana saa Saba leo,
Mkuu katengeneza makala chochezi,na kuitoa Leo makusudi kwa matakwa yao mabeberu.

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Hao watu ni vibaraka Wa mabeberu walishakula kiapo
 
Hao watu ni vibaraka Wa mabeberu walishakula kiapo
Inasikitisha Sana kwani wanapandikiza uchochezi kwa jamii,wanaona Tanzania inachanja mbuga wao wanavuta shati nyuma makusudi.

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
True. Kama ni kuichafua Serikali huyu kachangia zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…