Elizabeth wa DW anatuchafua kimataifa

The problem of Tanzania we don't stand as one nation! Kuna watu wanaiongelea vibaya nchi nje as if wao ni warundi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi Kama watu wananyanyasika wanateseka wanakamatwa na kuwekewa madawa ya kulevya, wanakamatwa kisa wamecheka suti watatoa wapi huo moyo wa kuisifia nchi? Watu wanaumizwa unaenda kupiga kura ili kumchagua Mbunge wako, matokeo yake kuna mtu mmoja tu anawaambia watu kuwa nitakupa wabunge 20 inasikitisha huwezi kuwa na moyo huo unaousema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wataongea watachoka hawana sumu hao
Nimesikitika Sana kusikia kwa majina wanajitambulisha nakusema eti umoja wa madakitari waliohitimu chuo Cha KCMC wanachangishana kusaidiana vifaa nikajiuliza mweshimiwa sikashakataza huu utaratibu

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Wanatumika bila kujitambua
Nimesikitika Sana kusikia kwa majina wanajitambulisha nakusema eti umoja wa madakitari waliohitimu chuo Cha KCMC wanachangishana kusaidiana vifaa nikajiuliza mweshimiwa sikashakataza huu utaratibu

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Juu
Juuh
Waginjwa
Mabebere
Bahadhi
Wayojiwa😜😜😜😜😜😜
 
Ila ww ndo una akili dah binaadam kujiona mkamilifu wakati mkamilifu ni yule anashikilia pumzi zetu muda huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifunze kwanza kutofautisha matumizi ya li na ri sehemu husika.

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 

Hebu na wewe fanya mahojiano na madaktaru halafu ulete mrejesho!
Halafu hiyo wizara si inaongozwa na binadamu? Hivi hawawezi kupika data kwa maslahi wanayojua wao..!??
Then uccm wako utakupeleka jehanam...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sasa Kama amewahoji madaktari nao Ndiyo wamethibitisha hayo tatizo lake ni lipi?
 
The problem of Tanzania we don't stand as one nation! Kuna watu wanaiongelea vibaya nchi nje as if wao ni warundi!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu labda nayo inawatendea vibaya kuliko hata warundi.

Mfano, mkuu hili la kuficha takwimu na kuwaweka watu hatarini wewe waliona je? Wewe waliona la kheri hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…