Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,970
- 27,512
bia yetu modern taarabWataongea watachoka hawana sumu hao
bia yetu modern taarab
mkuu, mimi sikutishi chief ila nimeona una kipaji cha taarab ngoja waje member tukuchangie vifaa mkuuWewe Lucas mobutu usinitishe
Tatizo huna akiri unafikiria kupitia matako ndio nyie mnaoitwa mashamba mkikamatwa banana mnakuja kutulilia humu ili tuuungane mnasahau kuwa mkimaliza huko hali ikitulia mnatutafuta kutukamata na kutufunga na kutuwekea madawa ya kulevya ya uongo na kutunyima dhamana na kuuuwa watanzania wasio na hatia kisa wamewakosoa, nimesema ushamba kwa sababu wewe umeipata hiyo habari mbaya unakuja kuisambaza hata sisi tuliokuwa hatujui ubaya wa serikali ambao hatukusikiliza hiyo radio tumeipata kupitia kwako, tumieni akiri nyie ushamba unawagarim, ukisikia habari ukikaaa kimya inakwisha kimya kimya Lakini kutokana na ushamba wenu mnaisambaza Kama walivyofanya kwa idrisa kila mtu ameiona ile Picha hadi Vijijini kutokana na idrisa kukamatwa msingemkamata magufuli hangedharirika kwa watu wengiNimekua msikilizaji mzuri wa habari za DW ila huyu mwandishi wa habari amekua akituchafua kimataifa TANZANIA.
Leo kandaa makala iliyojaa uzushi na wongo mkubwa juuh ya mwenendo wa corona Tanzania,kahoji madakitari bahadhi nakuja na hutimisho baya la kutuchafua kimataifa,mfano Kuna madakitari ambao wamezungumza wamekua wakijinunulia barakoa kwa kujichanga kwa vikundi hii SI mbaya ila yeye kagongelea msumari kua serikali hajatoa vifaa vya kutisha Jambo ambalo si kweli,pia Kuna badhi ya wayojiwa wamediriki nao kutuchafua kwakusema waginjwa Ni wengi hii haijakaa sawa kwani wanaopaswa kutoa tarifa Ni wizara ya afya SI vingine.
Rai yangu watanzania tupuze huu uzushi wa mabebere.na hawa wahojiwaji wachunguzwe
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
mkuu, mimi sikutishi chief ila nimeona una kipaji cha taarab ngoja waje member tukuchangie vifaa mkuu
Nawe hukuwasikia Raisi na Waziri Mkuu wakitoa taarifa ya ugonjwa ?? Tatizo hutakikuwaamini unawaamini Wanzungu tuWewe ndiyo unapaswa kupuuzwa! Unavyopinga kuwa wagonjwa siyo wengi umejuaje wakati serekali haitoi takwimu? Unavyotetea kuwa serekali imetoa vifaa vya kutosha unaweza kuthibitisha hilo? Yeye kaongea na madaktari ambao ndiyo wako mstari wa mbele katika kuhudumia wagonjwa, wewe ulitaka aongee na serekali ambayo iko busy kuficha takwimu?Usifikiri kila Mtanzania ni mpuuzi na mbumbumbu!
Shw zake zitajaza sana
Nimekua msikilizaji mzuri wa habari za DW ila huyu mwandishi wa habari amekua akituchafua kimataifa TANZANIA.
Leo kandaa makala iliyojaa uzushi na wongo mkubwa juuh ya mwenendo wa corona Tanzania,kahoji madakitari bahadhi nakuja na hutimisho baya la kutuchafua kimataifa,mfano Kuna madakitari ambao wamezungumza wamekua wakijinunulia barakoa kwa kujichanga kwa vikundi hii SI mbaya ila yeye kagongelea msumari kua serikali hajatoa vifaa vya kutisha Jambo ambalo si kweli,pia Kuna badhi ya wayojiwa wamediriki nao kutuchafua kwakusema waginjwa Ni wengi hii haijakaa sawa kwani wanaopaswa kutoa tarifa Ni wizara ya afya SI vingine.
Rai yangu watanzania tupuze huu uzushi wa mabebere.na hawa wahojiwaji wachunguzwe
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
sanaa🤣🤣 tutamtunza vi elfu tano tano
Na wale watumishi wa afya Monduli waliolalamika kwenye TV kuhusu hilo, nao wanatuchafua kimataifa?Nimekua msikilizaji mzuri wa habari za DW ila huyu mwandishi wa habari amekua akituchafua kimataifa TANZANIA.