Elites vs non-elites

Tofautisha mazingira, sehemu...vitu vilivyo hai na visivyo hai
 
Asiyena elimu amepanga vizuri mifugo na ameacha nafasi wakati wenye elimu wameshindwa kupanga magari na kuacha
 
Tabia ya madereva wa Dar....huwa najiuliza sana hii elimu mbona haionekani kwenye maisha ya kawaida? Yaani how u conduct yourself! Kitabia unashindwa kumtofautisha dereva wa daladala na msomi wakiwa barabarani.
 
Tofautisha mazingira, sehemu...vitu vilivyo hai na visivyo hai
Ng'ombe wamefundishwa wanatembea kwenye mstari. Hayo magari yanaendeshwa na binadamu tena wengi wao wasomi lakini hawawezi kuendesha kwa mstari na utaratibu.Many people have gone to school but NOT EDUCATED
 
kweli lakini mkuu
 
Tabia ya madereva wa Dar....huwa najiuliza sana hii elimu mbona haionekani kwenye maisha ya kawaida? Yaani how u conduct yourself! Kitabia unashindwa kumtofautisha dereva wa daladala na msomi wakiwa barabarani.
Ng'ombe wamefundishwa wanatembea kwenye mstari. Hayo magari yanaendeshwa na binadamu tena wengi wao wasomi lakini hawawezi kuendesha kwa mstari na utaratibu.Many people have gone to school but NOT EDUCATED

Word bro!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…