Naomba kufahamu, form wenye D E E, E E E hawa chuo kikuu hawaendi sawa, je na diploma pia maana Qualifications za diploma cjaona huitaji wa matokeo ya kidato cha 6, only form 4 required
Na mimi nimepitia NACTE leo asbuhi kwenye course za afya hawajaonesha wa form six, vigezo vyote ni form four tu. Sasa hapo huyu mdogo wangu inakuwaje tena kapata DES kwenye comb ya CBG