Elimu yako ina mchango gani jeshini?

Unatuchora. Nani aache kazi kisa kuna kazi nyingine tena ya jeshi kwa msimu huu wa JPM wa kubana matumizi na kupunguza mishahara. Bora angekua anataka kuji freelance(kujiajiri) ningeona ni sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…