anasoma tu! mana inaonesha yeye ni kwa njia za panya zaidi! bongo hapa anasoma! wapo waliomaliza six na 4 zao, na chuo wanasoma na wengine wamemaliza na gpa nzuri tu! kama anayo pesa arudi bongo tu, tena skuizi kunavyuo vingi kupitiliza bora ingekuwa zamani nngemuwia ngumu kidogo! huyu wala sio ndugu yako ni wewe mwenyewe, so mkuu wewe rudi tu, vyuo vipo vya kumwaga huku.