In some extent nakubaliana nawe but kwaupande mwingine sikubaliani nawe, Vigezo vya kujiunga na chuo kinachotoa kozi za ufundi Tz hii ni Ufaulu wa kidato cha nne na hususan ni kwa wale wenye misingi ya ufundi au walopitia veta na kigezo chengine ni ufaulu wa kidato cha sita usiozidi daraja la 3 & vigezo vingine but muda mwengine kutokana na watu wenye vigezo vyote kutotosheleza,baadhi ya wanafunzi wachache wasiokuwa na basics za ufundi kwa idadi chache nao udahiliwa. Naongea hivyo coz mimi nipo ktk field hiyo ya ufundi.
Sent using
Jamii Forums mobile app