Deghe Mangae
Senior Member
- Mar 3, 2020
- 171
- 152
Miaka ya 70 darasa la saba walimaliza wakiwa na umri wa miaka 18 miaka ya sasa watoto wanamaliza wakiwa na miaka 12Elimu ya sasa haimuandai mtoto kujiajiri mfumo huu bado ni mbovu.
Kabisa cha kushangaza wapo wasomi wa zamani hili wanalifumbia macho huu.
Ni unafiki mkubwa sana Darasa la 7 la miaka ya 70 ni zuri mno kitaaluma kuliko la miaka ya leo ni weupe mno lakini pia wanafunzi wa enzi hizo mara.
Wamalizapo shule wana uwezo wa kujikimu kimaisha tofauti na miaka ya sasa,sijui tunakwama wapi kila ucheo wimbo ni ajira, Nahisi akili haipo manake Akili ni mabaki ya kile ulichosomea kumbuka baada ya kusoma madigree, maphd nk kile kinachobaki na kukupa ubunifu wa
Mambo mbalimbali kupambana na maisha hicho ndo Akili na sio Elimu.
Hebu tubadilike
Hivi Elimu nini? nikua na cheti au nikileunacho kijua, unaweza ukowanesha watu cheti chako na watu wakapata tafsili kwamba unayo elimu kulingana na cheti chako kinavyo onekana lakini ukawa hauna uwezo wakuendesha mambo na mtu akawa hana cheti lakini akawa anawaonesha watu uwezo na watu wakapata tafsili yakwamba anaelimu kutokana na namna anavyo endesha mambo.Elimu ya sasa haimuandai mtoto kujiajiri mfumo huu bado ni mbovu.
Kabisa cha kushangaza wapo wasomi wa zamani hili wanalifumbia macho huu.
Ni unafiki mkubwa sana Darasa la 7 la miaka ya 70 ni zuri mno kitaaluma kuliko la miaka ya leo ni weupe mno lakini pia wanafunzi wa enzi hizo mara.
Wamalizapo shule wana uwezo wa kujikimu kimaisha tofauti na miaka ya sasa,sijui tunakwama wapi kila ucheo wimbo ni ajira, Nahisi akili haipo manake Akili ni mabaki ya kile ulichosomea kumbuka baada ya kusoma madigree, maphd nk kile kinachobaki na kukupa ubunifu wa
Mambo mbalimbali kupambana na maisha hicho ndo Akili na sio Elimu.
Hebu tubadilike
We nawe unaendelea kujikanyaga tu, hamna hoja hapa!Kwamfano mtu kajifunza mambo ya ufundi gereji na kakaa huko miaka kumi (10) huyu atakua na ujuzi ambao hauna cheti sasa bado kwa mfumo wa nchi hii tutamtafisili hana elimu, lakini elimu anayo kwa ujuzi alionao isipokua hana cheti tunamwita hana elimu.
Hahahaaaa Asante mkuuMkuu, yawezekana unahoja nzuri sana ya kuandika. Lakini bahati mbaya Mungu haku kubariki kwenye uandishi.
Uwelewa wako mdogo tafakari wanasayansi wa mwanzo kama newtonWe nawe unaendelea kujikanyaga tu, hamna hoja hapa!
Basi sawa!Uwelewa wako mdogo tafakari wanasayansi wa mwanzo kama newton
Wamesoma wapi???!!! Hapa hatuangalii Elimu yako Tunataka Akili
Uko sawa mkuu bahati mbaya mno nilifaulu masomo ya science haya mambo ya kuandika Eassy nilikuwa naramba vibendera kwenda mbele yaani FFFFFF nisamehe bure tu mkuuMkuu, yawezekana unahoja nzuri sana ya kuandika. Lakini bahati mbaya Mungu haku kubariki kwenye uandishi.
Hakika uko vizuriBasi sawa!
Kumbuka kuna wahitimu wa vyuo pia wana fikra kama za hao wa drs la 7 wa miaka 13! Tukubali kuna tatizo mahali.Zaman watu walihitimu std 7 wakiwa na umri mpaka miaka 25, na kipimo cha mtu kuanza std 1 haikuwa umri ila kipimo cha mkono kupindisha sikioni kupitia kichwani, haijalishi umri wake ni miaka 15 bila kipimo cha mkono asingeweza kuruhusiwa kuanza shule.
Sasa wewe kitoto cha miaka 13 kiko la saba unategemea kiwe na uwezo gani wa kufikir na kupambanua mambo? Na kwa umri huo huo unategemea kiwe na uwezo upi wa kupambana na Mazingira.
Usikimbilie tu kulaumu elimu, umri nao ni shida.