Elimu ya Nape Nnauye

Nape aligraduate master mzumbe I was there. sasa wheather fake or genuine pamaoja na nchimbi PhD

Maarifa sio fake mkuu bali ni Vodafasta, kwa inji hii zinalipa si. Unaona matokeo ya form four 60% "0" ndo matunda yake hayo. Utawakuta serikalini kibao ndio ma decision maker wetu. Ila laana ya watoto wa watu kupoteza miaka minne na kutoka kapa itawarudia soon
 
Last edited by a moderator:
Wanaoimaliza Tanzania ni elites wenye madigrii kibao ya ukweli kutoka vyuo vikuu vyenye majina makubwa, siyo dagaa and sidekicks kama Nape Nnauye, Mwigulu Nchembe au Ridhwani Kikwete.

Jee, hao "Mafisadi Papa" waliyojaa Serikalini wenye degree za Oxford, Yale, Cambridge, Stanford, Cornell etc ndiyo wapewe free-pass kutokana na elimu zao zisizo na utata? Come on folks!
 

Nani serikalini wenye digrii kutoka Oxford, Yale, Cambridge, na Stanford?
 
Nani serikalini wenye digrii kutoka Oxford, Yale, Cambridge, na Stanford?

Wengi zaidi are in the employ of the Civil Service kiujumla, lakini hawafahamiki. Nenda UDSM na Wizarani utawakuta wamejazana kwenye medium-level positions while all along waiting for their chance to make their way up the bureaucratic ladder one way or another sometime in the future. We're talking about the brightest minds in the whole damn country as far as measure of academic credentials accumulated is concerned.
 

Acha uongo wewe, wangekuwa wamepata malezi ya hivyo vyuo wasingekuwa rahisi kuingizwa kwenye ufisadi. Unajua chuo kama UDSM zamani kilikuwa kinatoa magraduate wazuri na walikuwa wanapiga mzigo kwa level yetu lakini hili lichama lenu lakuleana limebadili maadili kuwa madili.....pumbawaaaaa.....v zao wote maana wanaharibu nchi yetu
 

Anaogopa atahaibika chezea mnyika wewe
 
Jifundishe kwanza kuandika "Biligate" nashindwa kuelewa unamaanisha nini?

Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu chama siku zote mfananishe Mnyika na Bill Gate wote hawana degree lakini mapigo Yao ya akili ya kuzaliwa tunayaona. Lakini huyo baba yenu anayewalipa mishahara kwa kumtetea humu amejaza mavyeti feki Kama masijala lakini hata alichosoma hajui
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama siku zote mfananishe Mnyika na Bill Gate wote hawana degree lakini mapigo Yao ya akili ya kuzaliwa tunayaona. Lakini huyo baba yenu anayewalipa mishahara kwa kumtetea humu amejaza mavyeti feki Kama masijala lakini hata alichosoma hajui

Mkuu Precise pangolin
Kwanza narudia tena siingii JF kuganga njaa kama wengi wenu wa mtaa wa Togo; pili Nape Nnauye ni kiongozi wangu kichama namheshimu na namkubali kwa hilo ila hawana uwezo wa kunilipa wala kuninunua; siku zote kaa ukijua chama ni mtu ghali sana hananunuliki na hawezi kuisaliti demokrasia na uhuru wa kisiasa tulio nao kwa tamaa ya fedha; sasa turudi hapa kwa Bill Gate na Mnyika; kwa ufupi tu Bill Gate achilia mbali ya kuwa bilionea sifa yake kubwa ni kuwa inventor sasa sielewi mpaka sas hivi Mnyika amefanya nini la kuweza kumfananisha na Bill Gate; halafu Bill Gatea hakuacha shule ili akagange njaa; baba yake ni mwanasheria ambaye tayari alikuwa na uwezo mzuri sana wa kimaisha tofauti na John Mnyika aliyeacha ili agange njaa; nilikuambia John Mnyika mfananishe na akina Mugabe kwani wote ni wapigania ukombozi ila mwenzake Mugabe aliona umuhimu wa shule pamoja na kuwa msituni alimaliza shule. Kielimu siwezi hata siku moja kuwafananisha Nape Nnauye na John Mnyika nitakuwa nimeitusi sana medani ya elimu achilia mbali kumfananisha Nape Nnauye hata kumfananisha John Mnyika na Lema kielimu ni tusi. Yeye mwenyewe John Mnyika analijua hilo na ndio sababu hawezi kuweka viwango vya elimu kwenye tovuti ya bunge; ni vilaza wenzake waliomo JF ndio wanaomtetea; ushauri wangu upo palepale ubunge haumzuii kusoma arudi shule bado ni kijana mdogo

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:

unajua kuwa hata lukuvi naye kaandika kwenye tovuti ya bunge eti ana masters!!!can you believe that sh*t?
 
Kuna walakini - mbona inakuchukua muda kutoa majibu? Nape tunakusubiri ujitokeze. Duh.... ina nipa wasiwasi kwani inaonyesha kuanzia CCM na watu wake ni watu wa kubebwa tu na mfumo. tukimaliza na matokeo ya Nape na Ridhi tukarudi kwa matokeo ya urais ya CCM tangu mwaka 1995.
 
unajua kuwa hata lukuvi naye kaandika kwenye tovuti ya bunge eti ana masters!!!can you believe that sh*t?


Hayo Lukuvi siyajui wala sijayafuatilia; ila ya Nape Nnauye nayajua na ndio sababu nayajibu; Nape amesoma Mzumbe kutafuta habari zake ni rahisi sana.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Hayo Lukuvi siyajui wala sijayafuatilia; ila ya Nape Nnauye nayajua na ndio sababu nayajibu; Nape amesoma Mzumbe kutafuta habari zake ni rahisi sana.

Chama
Gongo la mboto DSM

aje atueleze form four na form six alipata alama zipi?wengi wanasema hakuwa na qualification za kujiunga na chuo,he ought to come clean the air.
 
Ndugu wanajamvi nasikitika tu kueleza kuwa Nape kaanzisha suala la elimu ilihali yeye akijua kabisa kuwa hana uwezo na hatokuwa na uwezo kielimu kama aliokuwa nao Mnyika.

Nape alihamia Nsumba Sekondari iliyoko Mwanza Mwaka 1995 akitokea Ngudu Sekondari iliyoko wilayani Kwimba na kunikuta mimi nikiwa kidato cha kwanza yeye akiwa kidato cha pili.

Nape alifikia kuishi bweni lijulikanalo kwa jina la Mondlane room 3. Kijana Nape alikuwa mcha Mungu sana maarufu kama mlokole.

Nape baada ya kuhitimu form four alipata division four ya point 29. Sasa mimi sijui alifikaje huko form six. baada ya hapo sikuelewa tena nini kiliendelea kwa Nape kwa elimu ya bachelor lakini kwa masters yake amehangaika sana kukamilisha dessertation yake pale Mzumbe kwa habari niliyoipata kutoka kwa Lecturer mmoja ambaye ni jamaa yangu wa karibu na aliyemfahamu tangia akiwa form two.
 
aje atueleze form four na form six alipata alama zipi?wengi wanasema hakuwa na qualification za kujiunga na chuo,he ought to come clean the air.

Kwani kufeli form 6 ndio mwisho wa elimu? Binafsi nawafahamu watu waliopata 0 form 6 ila hivi tunavyoongea wana bachelor na taaluma nzuri; zipo njia nyingi kujiendeleza na kupata elimu; usisahau elimu ni kama mbio za marathon John Mnyika alianza vizuri ila amemaliza vibaya; Nape Nnauye alianza vibaya ila amemaliza kifua mbele; kama hangekuwa na sifa za kusoma masters Mzumbe wasingemkubali unakumbuka mzee Mzindakaya aliwahi kulazimisha kusoma Mzumbe? Unajua matokeo yake walimuondoa pamoja na kuwa alikuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro; Nape Nnauye alikuwa na sifa zote za kujiunga na chuo ndio sababu bodi ya chuo ilikubali vyeti vyake.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Kumbe alijifunzia matusi NSUMBA au alitoka nayo NGUDU???????????
NI kilaza tu huyo. Hana lolote katika jamii.
Mbona WASUKUMA WENZAKE NI WAJANJA????????? AU yeye sio msukuma????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…