'Mwosha huoshwa'.
Nape Nnauye ulianzisha mjadala juu ya elimu ya Mheshimiwa John Mnyika na mwenyewe ameshajitokeza kujibu.
Katika uzi huo wa Mheshimiwa Mnyika wachangiaji wengi wamegusia kuhusu details za elimu yako.
Swali la msingi: Matokeo yako ya Form 6 yana mashaka, wengine wanasema ulipata Division IV wengine Division 0. Uliwezaje kwenda chuo kikuu na Division IV ya Form 6?
Ona duku duku la wengi kujua matokeo yako.
Watu hawa wote, pamoja na mimi mwenyewe tunaomba majibu.
Kama kuna waliosoma na Nape pia, mnaweza kutueleza mnavyomfahamu.
Amesahau kulikuwa na uchaguzi Magu na Mbozi.mkuu nape anaandaa single nyingine baadaya ya mnyika kufail anakuja na udr.wa slaa ni feki ndicho kinachofuata
Mwenzake tunaona A-9 na jinsi anavyotenda. Anavyojenga hoja, na alivyo na upana katika uelewa wake wa mambo.Mimi nilisoma na Nape alikuwa na akili sana na alifaulu vizuri sio kwa viwango vya A 9 kama Mnyika ila sio mbulula kama Mulugo wala sina wasiwasi na hilo,namsubiri aje kusema mwenyewe ila asipojibu naweza kuwasaidia
Kweli aje atupe raha !Nape Wana jamvu twakusubiria jamani..
Njaa ndio inamfanya awe alivyo ila kiukweli ana akili za kutosha ndio maana ndani ya chama chake yeye ndio kinara wa kusema kwa sababu anawazidi wote,ila zingatia kuwa Nape sio mtoto wa Mzee Nnauye na kwa vyovyote ana mzigo wa kulisha tumbo lake na la watoto na wake wa baba yake mlezi maana baba yake Nape Mzee Mwandosya alishamkataa kabisa hataki hata kumwona.Mwenzake tunaona A-9 na jinsi anavyotenda. Anavyojenga hoja, na alivyo na upana katika uelewa wake wa mambo.
Huyu naye ana akili lakini anatuletea upuuzi wa kujadili watu, mara kadi ya Slaa, leo elimu ya Mnyika, kesho sijui atahamia kwa nani.
Lakini anashambulia wale anaowaogopa kisiasa. Hawagusi walio dhaifu.
Mkuu, hili ni janga la taifa kama huyu ndiye anawazidi wote akili kwenye chama tawala.Njaa ndio inamfanya awe alivyo ila kiukweli ana akili za kutosha ndio maana ndani ya chama chake yeye ndio kinara wa kusema kwa sababu anawazidi wote,ila zingatia kuwa Nape sio mtoto wa Mzee Nnauye na kwa vyovyote ana mzigo wa kulisha tumbo lake na la watoto na wake wa baba yake mlezi maana baba yake Nape Mzee Mwandosya alishamkataa kabisa hataki hata kumwona.
Amesahau kulikuwa na uchaguzi Magu na Mbozi.
Amesahau watu wa Dar wanateseka na shida ya maji.
Amesahau bado Mtwara serikali imechemsha.
Amesahau kuwa matokeo yaliyotoka leo yanaonesha elimu yetu inadidimia.
Dada yake ndo yule mwanaasha mrisho kikwete?Riz One ni kilaza na hawezi kujibu chochote kwani kama sio Beno Malisa kumsaidia pale UDSM asingemaliza na hata sasa anamtegemea sana Beno kumuandikia barua za kiingereza hata nje ya nchi anakwenda na Beno na ndie msemaji wake yeye anajua hi na how r u too mengine Beno ndio anajibu ,Bila Beno Riz One na yule dada yake aliyepata sifuri Feza Sec hawatofautiani
'Mwosha huoshwa'.
Nape Nnauye ulianzisha mjadala juu ya elimu ya Mheshimiwa John Mnyika na mwenyewe ameshajitokeza kujibu.
Katika uzi huo wa Mheshimiwa Mnyika wachangiaji wengi wamegusia kuhusu details za elimu yako.
Swali la msingi: Matokeo yako ya Form 6 yana mashaka, wengine wanasema ulipata Division IV wengine Division 0. Uliwezaje kwenda chuo kikuu na Division IV ya Form 6?
Ona duku duku la wengi kujua matokeo yako.
Watu hawa wote, pamoja na mimi mwenyewe tunaomba majibu.
Kama kuna waliosoma na Nape pia, mnaweza kutueleza mnavyomfahamu.
Mkuu Nape hawezi kujitokeza Hadaharani Kuelezea Elimu yake. Nape analiwinda sana Jimbo la Ubungo sasa anahisi Masalia wanaweza Kumsaida
Nape alifeli Form Six baada ya Kukosa Sifa za Kujiunga Chuo Chochote Cha Tanzania. Kwa sababu Mzee Yusuph Makamba alikuwa na Uhusiano wa Karibu na Baba wa Kambo wa Nape (Mzee Moses Nnauye) Wakamtafutia kachuo huko India. Sasa nasikia anachukua Masters Mzumbe (Nani ambaye hajui MBA za Mzumbe ni Fake?)