Verry simple, NAPE anayo masterz na Mnyika hakumaliza chuo.period
Kilaza ni nani mwenye masters? Au mwenye elimu ya kidato cha 6
Chama
Gongo la mboto DSM
Tunazungumzia elimu hapa kama kupresent paper ndio digrii hilo nimekubaliana na wewe
Chama
Gongo la mboto DSM
unavyojitutumua kujibu kwi kwi kwi utafikiri wewe ndio nape, mnyika alikuja hapa akajibu , why not nape to do the same? Unakomaaa vidole vitapata sugu hivyo we want to hear from Nape unless u-verify kuwa wewe ndio msemaji wake!
Mkuu Chama ni vyema
ukatuambia ana masters ya nini; kwani yawezekana siku hizi Mzumbe
wameacha kutoa masters za Ki-china na kuanza kutoa Masters za
MATUSI.
Ni kituko katika fani za akina Messi na NgassaMwaikimba ndio kituko gani?
Chama
Gongo la mboto DSM
KILAZA Ni mwenye vyeti vya elimu ya juu lakini hana elimu hiyo. Hapa ni kama unaelewa maana ya ELIMU.Kilaza ni nani mwenye masters? Au mwenye elimu ya kidato cha 6
Chama
Gongo la mboto DSM
mnyika kipaji, nape mlopokaji tu..kama wewe
Jamaa wanatoa Excutive Masters ndo maana wengi wanakimbilia huko....yaani hiyo masters mnaamua kituo cha mihadhara kiwe wap mwezi huu mwanza, mwezi ujao arusha ni....HUKO Mzumbe wengi wamepata "za Kutungua" na "za "KUAZIMWA" tukianza na Deodorius Kamara, Nchimbi na sa tunaambiwa Nape
Nilivyokuelewa wewe unathamini vyeti kuliko uelewa na ili ndilo linatuharibia nchi watu kujisifu kwa vyeti vyao bila kuelimika.John Mnyika alikuwa natafuta sympath kwa watu wasiosoma hakukuwa na jibu lolote la kunishtua mimi; yeye ni form 6 tu hana cha zaidi
Chama
Gongo la mboto DSM