Elimu ya nadharia kusema kweli tunaumia maswali mengi yananijia nn kifanyike kubadili mtaala sidhani kama ni njia hata elimu ya sasa inatufaa pia maana elimu inaanza kwa nadharia . Lakini nadharia pasi na vitendo akili tunaumia kubadili mtaala bado hauleti uhalisia hasa kwa sisi wa biolojia ,kemia na fizikia . Tusibadili mtaala Bali tulete zana za kufundishia tena vya kisasa na vyenye ubora pia ili elimu yetu iwe na manufaa na ilete uhalisia