Mi sina uzoefu lkn ninachofahamu gari ni sawa na mwanamke, unaye mpenda na kumuoa kuna mwingine hata ukimpa bure hamtaki.
Mfano: Duals ya million 20 mi hata ukisema nilipie m 5 sitoi ila kuna watu huwaambii kitu kuhusu hiyo gari bila kusahau ist siikubali lkn cheki wengine ndo wanavimbia.