Richard mtao
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 270
- 378
Naomba ufafanue zaidi..Mtu aliyefundishwa masomo sekondari akafaulu akifundishwa kazi KWA mwaka mmoja atajua. Kazi atakayoifanya KWA miaka 20+
Tatizo waajiri wanasahau kuwa wao pia walichukua muda mrefu na seminar nyingi kumasta hizo kazi.
Mtu A,B,C,D ya Physics A level halafu afundishwe kazi KWA mwaka mmoja ashindwe?
Nimekuelewa vzr MkuuKwa jumla elimu yetu ni content-based badala ya kuwa skill-based. Ndio maana hivi sasa serikali inajaribu kubadili mitaala na kuja na kitu wanachoita Competence-based curriculum (Mtaala unaolenga umahiri) - sijui kama tuna mipango ya kutosha kufanikiwa.
Kwa hiyo, haishangazi kama mtu anakuwa amepasua vizuri maksi za mtihani lakini, kiutendaji (skills), akawa anapwaya.
Ndiyo maana ni MUHIMU SANA kujiendeleza NJE YA DARASA kwa maarifa halisi ya maisha sawasawa na kile unachopenda kufanya maishani.
KABISAA NAUNGA MKONO HOJAKwa jumla elimu yetu ni content-based badala ya kuwa skill-based. Ndio maana hivi sasa serikali inajaribu kubadili mitaala na kuja na kitu wanachoita Competence-based curriculum (Mtaala unaolenga umahiri) - sijui kama tuna mipango ya kutosha kufanikiwa.
Kwa hiyo, haishangazi kama mtu anakuwa amepasua vizuri maksi za mtihani lakini, kiutendaji (skills), akawa anapwaya.
Ndiyo maana ni MUHIMU SANA kujiendeleza NJE YA DARASA kwa maarifa halisi ya maisha sawasawa na kile unachopenda kufanya maishani.
Unataka kusema waajiri wanalalamika kitu ambach sio?Mpaka apende kazi ndio atafanya vizuri , wengi wanachoka sio kwamba hawan uwezo ndio maana unaona wanaanza kuchelewa ,mara excuses kibao hawafiki ofisini .
Hali hiyo ni kawaida sana kweny mazingira ya kazi ,ila kuna haya mambo mtu akianza harakati za kusoma ili kujiendeleza basi utendaji nao unapungua
Nimeskia mtaala unaboreshwa kila wakat pia kuna maboresho ya mfumo wa utolewaji elimu. Ngoja tuoneHII ELIMU YA NADHARIA NA KUKARIRI TULIYORITHI KWA WAKOLONI IFIKIE MUDA TUIACHE
Mkuu vipMmmmmmh
Ukisoma muongozo wa serikali haswa sheria za utumishi utakuja kugundua kuna uvunjifu mkubwa wa maadili ya kazi.Unataka kusema waajiri wanalalamika kitu ambach sio?
Mbona hata watanzania waliosoma huko nchi xa nje kama Ulaya na Marekani wakirudi nchini na elimu zao mnzosifia kuwa huko ziko vizuri mbona wakifika Tanzania hatuoni hayo ma competence based kwenye performance zao makazini na maofisini au kwenye biashara? Kulikoni wakati wao wamesoma nje huko.kwenye elimu bora?HII ELIMU YA NADHARIA NA KUKARIRI TULIYORITHI KWA WAKOLONI IFIKIE MUDA TUIACHE
Tabia za wanafunzi nq mfumo unaotumika kuwaaanda, these factor remain constantUkisoma muongozo wa serikali haswa sheria za utumishi utakuja kugundua kuna uvunjifu mkubwa wa maadili ya kazi.
Mambo hayo kama kuchelewa, kufanya kazi kwa mazoea bila ya ubunifu ,ulevi wa kupindukia , mapenzi kazini haya na mengine mengi yanachangia kuharibu utendaji wa kazi.
MIFUMO HAIFANANI NAWEZA KUSEMAMbona hata watanzania waliosoma huko nchi xa nje kama Ulaya na Marekani wakirudi nchini na elimu zao mnzosifia kuwa huko ziko vizuri mbona wakifika Tanzania hatuoni hayo ma competence based kwenye performance zao makazini na maofisini au kwenye biashara? Kulikoni wakati wao wamesoma nje huko.kwenye elimu bora?
siasa za bongo zimeshanichosha... SERA yenyewe ya elimu ina mapungufu makubwa... kila waziri wa elimu akija anasema lakeNimeskia mtaala unaboreshwa kila wakat pia kuna maboresho ya mfumo wa utolewaji elimu. Ngoja tuone
Nimependa jibu lako lakn nataman ufafanue zaidi hapo kwemye hizo sababu tatu ulizotajaMIFUMO HAIFANANI NAWEZA KUSEMA
Hakuna mazingira wezeshi na vikwazo mbalimbali vya kijamii, kiteknolojia,kisiasa na kiuchumi
kijamii - Fikra na mitazamo juu ya ajira kwa mtu aliyetoka ulaya kuja kufanya kazi huku anapata tabu kuzoea mazingira ya hapa kutokana na ile exposure ya nje, wenzetu mifumo yao ya kijamii ipo vizuri hasa uwekezaji kwenye maarifa na vitendoNimependa jibu lako lakn nataman ufafanue zaidi hapo kwemye hizo sababu tatu ulizotaja
Nimekupata vzr Mkuu. Shukrankijamii - Fikra na mitazamo juu ya ajira kwa mtu aliyetoka ulaya kuja kufanya kazi huku anapata tabu kuzoea mazingira ya hapa kutokana na ile exposure ya nje, wenzetu mifumo yao ya kijamii ipo vizuri hasa uwekezaji kwenye maarifa na vitendo
kiteknolojia - Hilo halina ubishi vitendea kazi vya ulaya na huku tumeachwa mbali, mifumo ya ufanyaji kazi kule inarahisishwa na mashine nzuri ambazo zingine huku hatuna
kisiasa - utashi wa kisiasa juu ya sera za elimu na ajira katika nchi zetu unazijua, urasimu uliopo tofauti na ulaya ambapo ukiwa na skills nzuri hawana mbambamba
kiuchumi - nchi za ulaya nyingi, zimeendelea wakati huo nchi zetu ndio zinazoendelea kiuchumi.. Ulaya wanaweza kuwa na fursa chache za kiuchumi lakini wakazitumia vizuri tofauti na kwetu ambako fursa ni nyingi ila tunazitumiaje? Rasilimali zetu tunazitumiaje na unaona wasomi wetu ndio hao.. Angalia tu tenda ndogo au miradi mikubwa kati ya wazawa na wa ulaya nani anazingatiwa zaidi...
sijui kama unanipata? Hata ukienda kuomba kazi unaambiwa tunataka uzoefu, na wewe ni fresh from school... unajiuliza unapataje? Elimu yetu ndio kama hivyo kukariri kwingi halafu vitendo vichache