I Israel Senior Member Joined Apr 9, 2012 Posts 171 Reaction score 39 Jan 10, 2025 #1 Habari wadau,iv iz elimu za kusoma nyota ,kuangalia kiganja cha mkono ni sahihi au ni za upande wa giza?maana wengine wanasema sio za giza ila unaweza kuzitumia vizuri,dhambi ni pale unapotumia kudhuru watu,kuloga n.k
Habari wadau,iv iz elimu za kusoma nyota ,kuangalia kiganja cha mkono ni sahihi au ni za upande wa giza?maana wengine wanasema sio za giza ila unaweza kuzitumia vizuri,dhambi ni pale unapotumia kudhuru watu,kuloga n.k