Naomna niwe mchangiaji namba1 hapo tanzania inakabiliwa na tatizo la mfumo, mtaala,vitendea kazi na hata vitabu na walimu pia nishida sasa unategemea nini km waalim hutokea daraja la chini, nahao lecturers wanavitabu vina mifano ya mwaka 1980,75 kikiwakimya 1999 unadhani kuna wazo jipya nakila mwalim anapotoa mfano darasani utaona anasema ukiwa kazini serikalini .... hakuna hatammoja anasema wewe mwenye kampuni bisha kama nimbishi hii ndio tanzagiza,aka tanzania yenye giza hiyo