Mimi ni kijana wa Kitanzania niliyeona uhitaji wa mafunzo na elimu ya kawaida ya computer katika jamii yetu na technologia zake au TEHAMA.
Nimeanza kutoa mafundisho ya kawaida YouTube bure na kwa lugha ya kiswahili, ili kueneza elimu hii vizuri kwa watu wote.
Nimeanza kufundisha YouTube mwaka 2015 ambapo nilikua nikitoa videos za kihandisi zaidi (Computer programming) ila kwa mwaka huu nimehamia kwa watu wa kawaida ili kusaidia wengi.
Nimejidhatiti na kufanya YouTube iwe kati ya vitu ninavyovifanya professionally na sio hobby tena.
nimetoa hii High Quality video documentary inayoweza kukutambulisha kuhusu Linux Operating system na Open source philosophy kwa kiswahili ili kuelimisha jamii juu ya Operating system hii ambayo watu wengi huisikia kwa juu juu.
Nitakuwa natoa documentary videos na tutorials zaidi kuelezea technologia mbali mbali kwahiyo kama ukivutiwa nayo ningependa utoe ushauri chini na zaidi usubscribe kwenye channel yangu kunisupport na pia kupewa notifications pale tu nitakapo upload video mpya.
nimetoa high quality documentary nikielezea safari ya Operating system ya Linux toka kutengenezwa kwakwe mpaka matumizi yake ya sasa ambayo karibia kila unaemfaham ananufaika nayo bila kufahamu.
Tafadhali subscribe, comment (hapa au YouTube) maoni yako na share kwa wadau wengine ili kupanua huu uelewa zaidi.
Ninatoa elimu juu ya teknologia mbali mbali kwa kiswahili na hivi karibuni (jana) nimetoa HD video mpya ninayofundisha kuhusu Linux
Operating system au Linux Distribution ndani ya dakika 7 tuu.
Ningependa kupata maoni yenu na msaada wa kutazama na kusambaza zaidi ili elimu hii izidi kuenea kwa wanajamii wote.