Elimu:Wenye kutaka noa mbongo kwa mafunzo ya maprof wa vyuo vikubwa USA kupitia online bure. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu:Wenye kutaka noa mbongo kwa mafunzo ya maprof wa vyuo vikubwa USA kupitia online bure.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Nicholas, Sep 2, 2012.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  Wenye kutaka noa mbongo kwa mafunzo ya maprof wa vyuo vikubwa USA kupitia online bure.Hapa kuna cource za beginners na intermediary.Vyeti vinatoka kwa course ingawa kuna nyingine hazina vyeti kwa hiyo utaangalia mwenyewe.Hitajiko ni kubwa ni kuwa na access ya internet.Requiremenet nyingine uaelekezwa kwa cource husika.Labda kingine cha kuumiza ni vitabu kupata Amazon.Hapo kma huna unaweza tafuta online vya kudownload,au kama unaweza pata ktik libary pia sio mbaya.Amazon ni mojawapo ya sponsors kwa hivyo nao wamejiweka pa kula.

  Kujiregister fuata hii link then nenda katik page, chagua course kadiri uwezavyo na kuhitaji, na kama unafikia vigezo vilivywekwa ili usijepata shida kuelewa mambo.kumbuka kuangalia tarehe zinapoanza na mud ahusika ili usijikute una masomo mengi zaidi ya ratiba yako kimaisha.

  kamata hii link:
  www.coursera.org

  Otherwise.Tutegemee wachangiaji kuwa wajinga siku zote humu ndani.Na kuishia kudandia mambo wasiyoyajua wakitegemea watayajua kwa kubishana.Hii itawa frustrate wengine wanaojua na itapunguza ufanisi kwani, mamabo hayatajadiliwa kwa kiwango cha kutosha na fikra zitaishia kati ya uelewa wa juaye na asiyejua, n ahakuna wa kurekebisha uelewa wa mwingine.
   
 2. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  safi sana, i never realised dat i needed this until i saw t. PS؛‎ nmependa ur last words :D so true
   
 3. s

  sai 4real' New Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  good boy i like it
   
 4. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  umetembelea lakini?bado hawajaweka course nyingi sana, ila ni vyema ukapiga unazopenda then next time wakiweka level mpya unatinga.By far ni bora kuliko online courses nyingi na walimu wake wa hali ya juu sana toka vyuo vikubwa na vingine vinaongezeka.
   
 5. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Let me visit the page, thank you
   
 6. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  yap, tayari but my classes have not yet began. Looking 4ward to it
   
 7. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Naifanyia kazi sometime in october. Nashukuru mkuu.
   
 8. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  thanx alot.....haya ndo mambo tunataka humu jf hasa kwenye hili jukwaa la elimu.....
   
 9. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Umenena hapo, sio kila kukicha UD nini cjui IFM nn, big up kwa mtoa mada
   
 10. p_prezdaa

  p_prezdaa JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Nime sign up for dc issue waneniambia niwe na subira ni kweli bure au ndio baadae kudaiana tena maana daah, mtandao bwanaa
   
 11. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  Ni bure kabisa na sababu za msing sikiliza hii video then angalia suggested hapa Computing Conversations: Daphne Koller and Coursera - YouTube  Kitu kizuri hapa ni kwamba kuna course ambazo huzingeweza zisoma bongo, kwa vile ungeulizwa kama umefaulu sijui masomo gani na gani.Ila hapa unaweza soma bila hata kuhitaji cheti.Mfano ulianzia katik sayansi ukaja katika business ila shule walikupitisha haraka kwa staili ya vyuo vyetu.Sasa hapa unaweza zisoma vizuri na kupata concepts bure.

  Kuna cource kama artificial (AI)hapa bongo hakuna pa kupata,Kuna cource kama za word history ,kuna historia za mataifa makubwa.Hakuna hizo cource zenye ubora na za kupanua itazamo katik vyuo vyetu, ndio wataalamu wetu wana twisted understanding ya haya mambo.Kuna mengi amabayo kitakachokubana na mahitaji ya kozi na si sheria za mtu.


  Huwezi amini walimu wake wanaipenda kazi yao sana,wana tutorial nzuri, wana materials kuanzia powerpoint, videos kwa kila topics, wana wiki ya kila somo kama weekedia, na kuna study groups nyingi sana unazoweza jiunga na ku discuss nao.Kupitia tools za website hiyo,na unaweza download hizo video ,powerpoint, pdf zote.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  Ni bure kabisa na sababu za msing sikiliza hii video then angalia suggested hapa Computing Conversations: Daphne Koller and Coursera - YouTube


  Kitu kizuri hapa ni kwamba kuna course ambazo huzingeweza zisoma bongo, kwa vile ungeulizwa kama umefaulu sijui masomo gani na gani.Ila hapa unaweza soma bila hata kuhitaji cheti.Mfano ulianzia katik sayansi ukaja katika business ila shule walikupitisha haraka kwa staili ya vyuo vyetu.Sasa hapa unaweza zisoma vizuri na kupata concepts bure.

  Kuna cource kama artificial (AI)hapa bongo hakuna pa kupata,Kuna cource kama za word history ,kuna historia za mataifa makubwa.Hakuna hizo cource zenye ubora na za kupanua itazamo katik vyuo vyetu, ndio wataalamu wetu wana twisted understanding ya haya mambo.Kuna mengi amabayo kitakachokubana na mahitaji ya kozi na si sheria za mtu.


  Huwezi amini walimu wake wanaipenda kazi yao sana,wana tutorial nzuri, wana materials kuanzia powerpoint, videos kwa kila topics, wana wiki ya kila somo kama weekedia, na kuna study groups nyingi sana unazoweza jiunga na ku discuss nao.Kupitia tools za website hiyo,na unaweza download hizo video ,powerpoint, pdf zote.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. p_prezdaa

  p_prezdaa JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Owky nimeipenda naifanyia kazi mara moja
   
Loading...