mzee jongo
Member
- Sep 29, 2016
- 20
- 1
ndugu zangu
haijalishi umesoma kiasi gani lakini mafanikio katika maisha ni vile wewe mwenyew unanidhamu kiasi gani maana kuna watu wengi waliofanikiwa na hawajapitia au hawakua wakifanya vizuri zaidi katika masomo yao mfano mkubwa bill gates anasema mwenyewe kuwa anawaajili watu waliokua wakimzd kimasomo katika kampuni yake ya microsoft na mfano mdg darsani kwetu <udsm> aliekua ****** naye akijijua ndiye aliekua wa kwanza kupata kazi na kazi yenye mshahara mkubwa huko UN
au nyie mtazamo wenu ni upi
Kweli unafikia hatua hiyo, edu ation is important than nothing in World, kama sio education tusingefika hapa tulipo hapa duniani.ndugu zangu
haijalishi umesoma kiasi gani lakini mafanikio katika maisha ni vile wewe mwenyew unanidhamu kiasi gani maana kuna watu wengi waliofanikiwa na hawajapitia au hawakua wakifanya vizuri zaidi katika masomo yao mfano mkubwa bill gates anasema mwenyewe kuwa anawaajili watu waliokua wakimzd kimasomo katika kampuni yake ya microsoft na mfano mdg darsani kwetu <udsm> aliekua ****** naye akijijua ndiye aliekua wa kwanza kupata kazi na kazi yenye mshahara mkubwa huko UN
au nyie mtazamo wenu ni upi
Akili yako haina akili, kweli unafikia hatua hiyo, edu ation is important than nothing in World, kama sio education tusingefika hapa tulipo hapa duniani.
haina maana namaanisha elimu haina umuhimu ila ninachomaanisha hapa ni kuwa mafanikio yako binafsi si lazima yalingane na kiwango chako cha elimu ndio maana kuna watu wana degree moja ila wanamafanikio kuliko baadhi ya wenye masters au kuna watu wana diploma ila wanamafanikio kuliko baadhi ya wenye degree na pia kunawafanya biashara ambao hawajasoma ila wanamafanikio kuliko watu wenye elimu zao kubali ukataeNami siamini kama kuna msomi wa chuo kikuu asiyejua umuhimu wa elimu..
Sijajua unazungumzia mafanikio ya aina gani! ila kama unazungumzia ya kifedha kama billy ni kuwa kwanza mazingira ya kipindi kila yaliruhusu ila sasa hv ni almost impossible bila kusoma maana hata kipaji cha mtu kukitambua itahitaji elimu fulani.
hata hvyo almost 95% ya matajiri wote duniani-ni utajiri unaotokana na inheritance (Kurithi mali ) na 5% ni talents ,hivyo siku zote maji hufuata Mkondo ni kama ulivyo ukanda wa dhahabu!
ni kweli kabisa kwa unachokisema elimu itakufanya uwe avarage katika maisha ila ukihitaji kukua zaidi ni juu yako mwenyewe katika serikali ya kichwa chakoKisayansi elimu ni kigezo cha kufanikiwa ingawa sio kigezo peke yake. Kwa sababu siyo kigezo peke yake kuna wenye elimu ndogo ambao wamefanikiwa na pia kuna wenye elimu kubwa ambao hawakufanikiwa. Lakini ki ujumla elimu huleta mafanikio-msome Gates hapa Bill Gates, world's richest college dropout, says stay in school kwa ufupi topic inasema "A little friendly advice from the wealthiest guy without a college degree: Get one".
HAKIKAElimu ni chachu ya uelewa/kujua na kujitambua