Topic nzuri....though mjumbe hapo juu anajiribu kutaka kuonyeshe uhusiano wa kichwa cha habari na content(thanx pia kwa kuchange heading).......kwa mtizamo wangu ni kuwa,ni kweli wasomi ni watumwa wa wasio-wasomi in a sense kwamba,ambaye hajasoma saaaana anakuwa na wepesi wa kujitambua(kutambua fursa zinazomzunguka kwa uharaka pasipo visingizio vingi) tofauti na wengi wa wasomi walivyo.
Wasomi wengi wa(tu)naishia kujivunia mavyeti tu,badala ya kutumia kaelimu tulicho nacho kuona fursa na kuzichangamkia.Hebu tuwatazame wamachinga,makonda,wakaanga chips,wauza maji kwa mikokoteni-maisha yao yanasonga tofauti na wasomi kuvimba kichwa na vyeti ili hali hata mie mfukoni hakuna.
Now its time kwa wasomi kujitambua na kuleta mabadiliko,kwa umoja wetu na taaluma zetu,hebu sasa elimu hii itumike ku-unlock hicho kitasa/kufuli la maisha-ambalo ndiyo MIND!!!
Barikiwa mleta mada!